Top007 Member Joined Jan 15, 2024 Posts 13 Reaction score 18 Jun 14, 2024 #1 Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi ) ====== Pia soma: Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje? Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda cha unga wa sembe Dar Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar
Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi ) ====== Pia soma: Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje? Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda cha unga wa sembe Dar Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar
hoof eater Member Joined Jun 11, 2024 Posts 35 Reaction score 71 Jun 14, 2024 #2 Binafsi Kwa Dar es salaam sina uzoefu, ila kama uko interested na nje mfano Kongo naweza kukupa ABC
enzo1988 JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,838 Reaction score 7,346 Jun 14, 2024 #3 hoof eater said: ila kama uko interested na nje mfano Kongo naweza kukupa ABC Click to expand... Tupe ABC za Congo kuhusu hii biashara.Vitu muhimu ni vipi??
hoof eater said: ila kama uko interested na nje mfano Kongo naweza kukupa ABC Click to expand... Tupe ABC za Congo kuhusu hii biashara.Vitu muhimu ni vipi??
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jun 14, 2024 #4 Yugali lol πππππ! Cc Smart911
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 15, 2024 #5 Mahondaw said: Yugali lol πππππ! Cc Smart911 Click to expand... Ngoja waje kumpa muongozo...
Mahondaw said: Yugali lol πππππ! Cc Smart911 Click to expand... Ngoja waje kumpa muongozo...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Jun 15, 2024 #6 Nasubiria Nondo Mashine zipi nzuri za kusaga na kukoboa?
Samin Wazawa New Member Joined Jul 24, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jul 30, 2024 #7 Wajuzi wa hii biashara tafadhali tupeni ujuzi hapa pia vipi kupeleka Kenya naona unga kwao uko juu sana
Wajuzi wa hii biashara tafadhali tupeni ujuzi hapa pia vipi kupeleka Kenya naona unga kwao uko juu sana