Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara?

Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa kutokana na kutokuwa na elimu ya Ushirika naomba mnitoe tongotongo katika hilo...
 
Hongera Mkuu.Ushauri:
1.Tafuta Thamani ya kitu unachomilki
2.Ukiita wabia uwe na options mezani unataka nini:JV ya Mradi Kwa asilimia,au JV ya Kampuni ya pamoja au JV ambapo kila mbia anamilki floors Kadhaa hivyo anakuwa na hati zake Nk
3.Tembelea Karikaoo kuna JV za Kila aina
 
Back
Top Bottom