Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu mbona nina rafiki zangu wanaishi kwenye hizo nyumba na wako vizuri tu bosskujisahau kujiona ndyo umefika.
Umefufua kaburi mkuu... alafu sikumbuki nlitaka kumaanisha nini?Kivipi mkuu mbona nina rafiki zangu wanaishi kwenye hizo nyumba na wako vizuri tu boss
Habari mkuu! Ulifanikiwa kupata nyumba? Na mimi nimetokea kupenda kuishi kwenye hizo nyumbaWanajukwaa nawasalimu.
Natamani kuishi kwenye nyumba ya National Housing hapa DSM.
Sijawahi kuishi kwenye hizi nyumba zaidi ya kuona waarabu na wahindi wakiwa ndio wakazi wakubwa. Naomba kujua gharama, faida na hasara za kuishi nyumba za NHC.
Ahsante.