Faida na hasara ya kutumia maji ya chumvi/maji ya kisima

Faida na hasara ya kutumia maji ya chumvi/maji ya kisima

diet

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
56
Reaction score
8
a.salaam wana jamvi............. nauliza kama kuna madhara au faida yoyote ya kutumia maji ya kisima ya chumvi?? maana kuna sehemu nimepangiwa kazi ni maji ya chumvi kila mahali hamna kabisa maji ya bomba.....
 
Mkuu.@diet Maji ya chumvi hayana madhara unaweza kutumia endapo hakuna maji mengine zaidi ya hayo lakini angalia endapo kama hiyo chumvi itakuwa ni nyingi huwezi kutumia na waulize wenyeji wanafanya maarifa gani kwa kunywa hayo maji?
 
Zipo chumvi za aina nyingi. Nyingine zina madhara makubwa.
 
Mbona Dar kila mahali ni maji ya chumvi. Uwezo wa serikali ya Tanzania kuwapelekea maji wananchi wake haupo so wengi wetu tunajichimbia visima wenyewe na karibu visima vingi tunavyochimba vina chumvi ya kufa mtu.
 
Back
Top Bottom