Faida na hasara za kuishi single

Faida na hasara za kuishi single

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Tuanze na faida
-Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote.

- Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona ivi👀👀), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti nyororo/nzito hapo pembeni yako? n.k. Wewe ukiamua urudi nyumbani au ulale huko ulikokutwa na giza, ni wewe tu.

-Uhuru wa kuamua mtu au watu wa kuchangamana nao.

- Uhuru wa matumizi ya pesa yako. Hii ni tofauti kama una mwenza, ukiwa na mwenza maamuzi ya pesa na mengine yote ya msingi ndani ya familia lazma kuwe na ridhaa ya mwenza wote.

- Upweke - kuna raha flani ya kuishi mwenyewe pekee.

Hasara
- kukosa mwenza wa kushirikishana naye mawazo muhimu ya maisha.

- kuwa hisia ya kujiona 'hautoshi' kutokana na wenzako wengi wengine kuwa na wenza wao.

- ni rahisi kupoteza focus katika maisha.

- upweke - kuwa katika hatari ya kupata matatizo ya akili hasa km hujakubali au kuzoea kuishi mazingira ya upweke
 
true story
 
Kama hujakubali na kama hufurahii kuwa peke yako
 
Uongo bana hakuna hasara ya kua single_____unakuaje mpweke wakati ukitaka papuchi unapata muda wowote ukiamua hata kulala nayo hadi asubuh
 
Back
Top Bottom