Faida na Hasara za Magodoro ya Spring. Na pia Magodoro bora

Faida na Hasara za Magodoro ya Spring. Na pia Magodoro bora

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10.

Naomba wenye uzoefu wa haya magodoro please.
 
Gharama sana ayo madude, Laki 5 hadi 8.

Ila ni zuri kulalia sana.

Na mwisho, USIWE NA TABIA YA KUPIGIA PASI KWENYE KITANDA, UNAHARIBU GODORO.
 
Umnunulie liwe lake au?Acha ufala mkuu huyo manzi mnunulie ulimi 4*6,utakuja nishukuru.Ukiwa mbishi sawa Nunua ila ipo siku atapigwa pipe na Masela wengine kwenye Hilo Hilo godoro.
 
pia lina lia wakati ule, na mneso wake hauleti mkandamizo kwake vya kutosha.
 
Back
Top Bottom