Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10.
Umnunulie liwe lake au?Acha ufala mkuu huyo manzi mnunulie ulimi 4*6,utakuja nishukuru.Ukiwa mbishi sawa Nunua ila ipo siku atapigwa pipe na Masela wengine kwenye Hilo Hilo godoro.