Wadau naombeni msaada wa kujua faida na hasara za mfumo wa CAMBRIDGE kwa mwanafunzi anayesomea Tanzania.
Nahitaji kufahamu kwani nina mdogo wangu yupo shule moja, walimu wameshinikiza asome mfumo wa Cambridge, Je future ya mwanafunzi huyu wa kitanzania, anayesomea Tanzania kwa mfumo wa CAMBRIDGE ipo vipi!!?
Msaada tafadhali.