Point less
Senior Member
- Jun 24, 2020
- 194
- 98
Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza
KARIBU MTU KANYE
TUJITETEE.
KARIBU MTU KANYE
TUJITETEE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin ni uchafu?Hivi jamii forums mods wapo likizo?? Huu ni uchafu gani tena humu??[emoji34][emoji34]
Mbona mada nzuriHivi jamii forums mods wapo likizo?? Huu ni uchafu gani tena humu??[emoji34][emoji34]
Asante joana mwelekeze kwani mkuuMbona mada nzuri
Kwanini uwe uchafu?
Wenzetu akinanani?Kwa wenzetu inaweza leta tija kwa wanafunzi ila kwetu cc inaweza kuchochea vitu kama uzinzi na kushuka kwa ufaulu kwani wanafunzi we2 wengi bado hawajitambui na hvyo kujikuta mda mwingi wanaupoteza kwenye v2 visivyo na msingi.
Alexent mabeberuWenzetu akinanani?