Faida na kazi za Broccoli mwilini mwako

Faida na kazi za Broccoli mwilini mwako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Broccoli inafanana na cornflower isipokuwa ina rangi ya kijani. Inapatikana soko la Kisutu, Mwenge

FAIDA ZA BROCCOLI MWILINI


1. Mfumo wa Neva: Inasaidia kufanya mfumo mzima wa neva kufanya kazi inavyotakiwa na kufanya ubongo kufanya kazi yake vizuri kwa kuwa ina madini ijulikanayo kama potasiamu
(potassium), na kisha misuli kuwa na nguvu.

2. Msukumo wa damu: Brokoli ina potasiamu na madini chokaa kwa wingi inayosaidia msukumo wa damu kuwa sawa.

3. Inapambana na sumu :Ina Vitamic C ambayo husaidia kupambana na sumu mwilini

4. Inalinda na kujenga mifupa: Vitamini K pamoja na Madini chokaa vinasaidia kujenga na kulinda mifupa.

5. Kuathirika na jua: Inasaidia kuondoa sumu ya kwenye ngozi pamoja na kurejesha uhalisia wa ngozi

6. Kinga dhidi ya maradhi: Ina zinki na seleniamu ambazo zinasaidia kuifanya kinga ya mwili kuwa imara.

NAMNA YA KUTENGENEZA/KUTAYARISHA

1. Unaweza kuchemsha peke yake ukazila zenyewe pamoja na supu yake (unaicha na maji maji)

2. Unaweza kuchanganya na carrots, gilgilani, cabbage ukazi steam kidogo


broccoli-mwilini-jpg.144872
 

Attachments

  • BROCCOLI MWILINI.jpg
    BROCCOLI MWILINI.jpg
    285.6 KB · Views: 1,438
  • BROCCOLI.jpg
    BROCCOLI.jpg
    11.7 KB · Views: 762
  • mboga ya brocoli.jpg
    mboga ya brocoli.jpg
    152.6 KB · Views: 459
Ngojea MTU aongeze neno hapa ***INAONGEEZAA NGUVU ZA KIUME NAKUONDOA UBARIDI*** Kamahujasikia zimeisha SAA 4 tu asubuhi
[emoji90] [emoji90] [emoji126] [emoji125]
tapatalk_1515458506232.jpeg
 
Hizi hulimwa wapi Tanzania.Wazungu wanazipenda hatari.Asante kwa somo
 
Back
Top Bottom