Faida na soko la mende

Mayai ya kware yameishia wapi vile?

Ova
 
Mkuu tuone hao mende wanafugwa vipi na katika mazingira gani, ndani au nje, bandani au chumbani, kwenye chupa au box, wanapewaje msosi..

Otherwise: Esopo, naona kama hadithi za abunuasi
 
Niliwahi na mimi kusikia hii.halafu alieileta alitaja mpaka na aina za mende takribani 30.mwenye hiyo link atupatie humu tuanze kupata uhondo huu wa biashara.
 
Mkuu tuone hao mende wanafugwa vipi na katika mazingira gani, ndani au nje, bandani au chumbani, kwenye chupa au box, wanapewaje msosi..

Otherwise: Esopo, naona kama hadithi za abunuasi
Wanafugwa kulingana na mazingira uliyopo bora uwapatie msosi wa kutosha,but sio wale wa chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…