Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

Naipenda jf lkn nakerwa sana na baadhi ya watu wanaojifanya wajuaji wanatukana na kukebehi michango ya wenzao naomba ikibidi itungwe sheria ya kuwadhibiti wanaotukana wenzao on the sport
 
Naipenda jf lkn nakerwa sana na baadhi ya watu wanaojifanya wajuaji wanatukana na kukebehi michango ya wenzao naomba ikibidi itungwe sheria ya kuwadhibiti wanaotukana wenzao on the sport
Ya ni kweli mkuu, kutukanana huwa haileti tija kwenye jukwaa. Nina imani wahusika watapitia comment yako na kuifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…