Shilika la ndege la bongo limemwagiwa sifa ya kukamata karibia nusu ya soko lakini kiualisia sio na faida iko chini kwakua wanatumia ndege za Masafa marefu soko la ndani wakati ingekua soko la nje wangekula mpunga mwingi halafu hizo ndege zikianza safari zake za nje subiri kituko kitachotokea kwa kuwa wamezipigia maesabu soko la ndani. Ni maoni yangu tu nimeishia darasa la nne