Faida tano (5) za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Umesema sahihi sana Mkuu

Hata wakati ule tunasoma Shule ilikuwa tunatembea kilomita 15 kwenda Shule na 15 kurudi hadi tumemaliza Masomo

Vyakula hivi vya GMO vimefanya tuwe wavivu na kukosa nguvu kabisa.

Sahivi unaweza Kulala na mpenzi wako ukaishia kupiga viwili tu usiku mzima 🙌
 
Wazee wengi wa zamani waliweza kuwa na wake zaidi ya 3, na wengi walifariki wakiwa na umri wa miaka 80+

Umegundua nini hapo??

Usiache tendo, hata kama ukiwa unaumwa hakikisha hata kimoja unapiga
Hahaha
 
Tundu Lissu, Polepole, Mpina na Heche wana confidence top-notch, naanza kuwafuatilia.
 
Kwa iyo mkuuu hii haituhusu sisi tulio kwenye ndoa??!
Usijitoe ufahamu kwani kwenye ndoa ndio mnafanya kila siku? Labda uwe umeoa jana na hamjawahi kulana, lkn ndoa nyingi zimejaa kukijahi kwa kweli tena umkute mtu asiyejua ufundi ndio utakuwa hufanyi week,..
 
Huu utafiti wa lini?, si wanasema mtu asipofanya ndiyo anakua na hasira, anapoteza kumbukumbu,nk, mbona tafiti imekua vice-versa 🤔
Uko sahihi,hasira za karibu ni moja kati ya sababu za kutofanya tendo kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…