Faida tatu za sigara

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA

1.Mvuta sigara hazeeki,
2.Mvuta sigara haumwi na mbwa,
3.Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi...

Ufafanuzi.

1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu.
2. Haumwi na mbwa kwa vile Kifua na mapafu yanapooza hulazimika kutembea na bakora.
3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika sehemu halali anakohoa usiku kucha. Hivyo mwizi anajua yupo macho kumbe kikohozi tu..

πŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎ
 
Maneno ya walokole haya. Vile vizee vinavyovuta tumbaku mpaka leo nini kwendaaa
 
Asante
 
Nawe unaamini kweli wavuta sigari kwao wezi hawaingii?!?!JIDANGANYE na huo ufafanuzi wako
 
Hahahahaha bora tucheke tuondoe stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…