Ahsante kwa ufafanuzi.Gharama Zia YouTube kwa Tanzania endapo utakua unaripoti matukio ya kila siku kama mwandishi wa habari itakubidi ulipie milioni 2 hivi, uende ofisi za tcra utajaza fomu.
Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama
Ile haisi naijua, si nyeusi! ila kama hayo mafanikio ni zao la youtube kwa hizo hesabu tunazopewa, nakataa, Labda uniambie ni zao la claus.Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
Sasa Millard mtaji anao???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kuanzisha Radio station inacost sh ngapi?? Maana millard kama jina analo aisee hata akikopa atailipa hiyo hela bila shidaa... Radio yake binafsi itamlipa sanaa sema na yeye awe anafanya vipindi asiwe boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile haisi naijua, si nyeusi! ila kama hayo mafanikio ni zao la youtube kwa hizo hesabu tunazopewa, nakataa, Labda uniambie ni zao la claus.
Kwani akiondoka clauds na kuwekeza nguvu kwa hiyo hesabu ataporomoka?
Mbona majizo aliacha ajira magic fm na akaanzisha efm na ikasimama! pia kuna yule jamaa jina limentoka alitoka bbc akaja kuanzisha radio zake dodoma na dar.
Mzee baba umetoa shule nzitoo sanaa[emoji120][emoji120]Kumbukumbuyatorati !!
Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!
Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!
Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!
Hapo juu inatokana na game of chance!
Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!
Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!
Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!
Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!
Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!
Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!
Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!
Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)
Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!
Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!
ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!
Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!
Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!
Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
Mkuu hesabu zilizopigwa ulikuwa ni kwa hapa tz na sio huko japan, kibongo bongo wastani ni dola 60 kwa views laki, hapo unaweza kuzidiKumbukumbuyatorati !!

Huyu jamaa sidhani kama ni mkweli aisee,
Hizo hela ni nyingi sana kwa Millard,
Tungejua tu.
Wote mko sawa lakini Millard ayo atafungua radio yake inawezekana mda wake bado, pia wengine anapata pesa mahali nyingi tu bado Anakaa pale pale Labda kaweka mda wake pale au mkataba wake bado Kama tu harmonize asante
Pongezi kwako mkuuKumbukumbuyatorati !!
Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!
Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!
Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!
Hapo juu inatokana na game of chance!
Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!
Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!
Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!
Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!
Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!
Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!
Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!
Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)
Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!
Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!
ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!
Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!
Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!
Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
Sasa Millard mtaji anao???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kuanzisha Radio station inacost sh ngapi?? Maana millard kama jina analo aisee hata akikopa atailipa hiyo hela bila shidaa... Radio yake binafsi itamlipa sanaa sema na yeye awe anafanya vipindi asiwe boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nafikiri hyo pesa wanazopata hawajatoa Running Cost,wakito na hzo garama za kusafiri ulaya ,mikoani nafikiri ela inabaki ya kawaida tu, so lazma aendelee na kusagaMillard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
Huyu jamaa sidhani kama ni mkweli aisee,
Hizo hela ni nyingi sana kwa Millard,
Tungejua tu.
Naomba uni inbox na mimi mkuu
Nimekuelewa mkuuumeamini mkuu?
point, millard anaingiza mkwanja mrefu sana kupitia youtube yake na site coz nna jamaa zangu ambao wanachannel zao ambazo zinasubscriber chini ya laki mbili na huwa wanaweka video za kawaida naviewers hata laki hazifiki lakin kwa mwezi 1M tzs wanapata.Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
Weks source....
Ingekua siri usingejua
Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga