Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

mkuu..... umekata tamaa sana.... ukiamini inawezekana.... am not rich myself ila nakamua nusu bln a year.... inawezekana... inawezekana... jiinue mkuu..... wengi wanatengeneza hiyo pesa na wako normal.... Ukibisha ubarikiwe.... Akina Masanja analima mpunga (anafundisha ujasiliamali youtube) anakamuaover 300ml a year... akijumlisha na nyinginezo yuko around 500ml.. na hesabu za mpunga zinafanyika easy.... kuna maparachichi Mbeya huko watu wanakamua Bln kama vichaa (kuna mdogo wana helkopta za $2ml zimepaki nje kwao).. Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu.... asiufanye moyo wako kuwa mgumu..Amen
Upeo wako ndo unakufanya uamini kila kitu!!...ukija kuwa na upeo mkubwa utakuja kuamini kuwa some billions ya manene ya kuambiwa ni tofauti na reality!!!
 
wako madogo wa3 wana IT company... wanapiga 4bln a year... wameajiri vijana kama 20 .... kuna dogo wa jamaa yangu anazalisha napkins na other paper products... some blnz...you free kukaza shingo na kuona haiwezikani... ila ukiamua ujifunze how can u do that unaweza kuwa kwenye list ya watengeneza bln... kwa watz wengi unachokishindwa wewe mwingine yeyote hawezi... Yuko dogo anapiga billions za kufuga kuku hapo Dar mtaji alipewa na UN small business development..... I wish niwe na upeo wako ili brain ipumzike kuwaza[emoji1787][emoji1787]
Upeo wako ndo unakufanya uamini kila kitu!!...ukija kuwa na upeo mkubwa utakuja kuamini kuwa some billions ya manene ya kuambiwa ni tofauti na reality!!!
 
I INSIST, by 2011 tayari watu tulikuwa tumeshaanza kucheza na haya mambo!! Na hata hiyo role as Advertizer nilianza kuicheza wakati huo baada ya kuona JF nimepigwa ban, nikalazimika kutafuta alternatiive!!

STAY BLESSED!!!
Sasa kwanini hukuleta data hapa unapiga piga kelele, weka evidence isiyo na shaka hata kama umeambulia dola 10 tu hatutakucheka mkuu🤣🤣

Hata mbinu zako zilikuwa amateur level kwenye hizi shughuli kwa kutumia nguvu nyingi kushare humu, Ma pro wengi wanashare since hio miaka wanashare video zao katika facebook groups and pages ambako uhakika wa kulaza views elf 50+ upo ukikaza mkono ama ukiseti roboti la ku spam fresh, Humu jf utaambulia views buku tu, Smarten up!!!!!

Hapa kumbuka makadirio yangu yamebase principle ya PRUDENCE, kukadiria mapato kwa kujikita zaidi na kiwango averagely minimum ambacho mtu akitegemee akianza hizi shughuli, ndio maana nikasisitiza ni dola 60 ambayo youtubers wengi wa kibongo hupata hii au zaidi kwa uhakika

kuna video nikakuwekea kuna watu wanapokea hadi dola 300 kwa views milioni , naona kila nachoandika humu ume reply ila ile video hujareply, kama kiingereza hakipandi ntakufanyia mpango niweke subtitle za kiswahili.

Kuna uwezekano hapa hapa bongo wa kupiga hadta dola 2.5 kwa views elfu moja ila hii rate sijai pendekeza kwa sababu kila moja akianza hizi shughuli atalalamika kwamba niliwadanganya na hapo watu wengine washakopa mikopo, Kwa taaluma yangu ya ya kuwa muhasibu C.P.A.(T) nikaona ni heri ku apply prudence kwenye estimation ya mapato ya youtube ili hata mtu akianisha channel yake ategemee hio dola 70 kwa uhakika zaidi na endapo atapata zaidi basi ni baraka

Alafu sijajua unalalamika hio dola 600 kwa youtube ni chache au nyingi, By the way kwa siku hizi vijana wadogo kabisa wakimaliza diploma zao za IT shule imeisha, Anatengeneza blog yake yenye adsense then anashare sauzi, katika page views 1000 kwa clicks 200 cpc ya dola 0.3 hio ni dola 60 salama salmini,page views 5,000 clicks 1,000 kwa cpc dola 0.3........Hii ni dola 300 kwa siku. Uzuri wangu mimi ukienda jukwaa la tech nina nyuzi kama sita hivi spoon feeding methods kabisa jinsi ya kupiga dolaz, And yes you guessed it right, Pesa za mzungu tamu sana,
 
Upeo wako ndo unakufanya uamini kila kitu!!...ukija kuwa na upeo mkubwa utakuja kuamini kuwa some billions ya manene ya kuambiwa ni tofauti na reality!!!
Ulimaanisha dharau ila kwa kawaida yangu nina upendo sana na nabarikiwa sana.. nina miliki malori mabovu yanasumbua.. napiga almost 500 kwa mwaka ila running cost iko juu sana.. nabaki maskini... Bado sijakata tamaa ntarekebisha..
Yuko binti ntakupa namba na jina anakamua over 900ml kampuni ya usafi.
Natamani tuwe na thread ya kuinuana na kunyanyuana kimawazo.. usife kiakili boss.. Najua wengi mmesoma na mna ajira nzuri ina limit uwezo wa kuwaza na kufanya makubwa...
Nakupenda na napenda kila mtu anayewaza maendeleo makubwa
sky is the limit.. na kama mungu wako ndio mmilki wa utajiri kwanini wwe uwe maskini? Inua spirit yako boss..
Mtafute motivational speaker Charles Kinuthia (kenya origin.. anaishi Texas kwa sasa) alifanya kazi kwangu 8yrs a go... sasa hivi anaweza kuniajiri.. yuko mbali mbaya na anatembea dunia nzima..
Watz wengi wanadharau kama yako.. ipige teke ili uone neema zilizopo duniani kabla hujafa
Love you all
 
Ayo anatengeneza 2bn kwa mwaka?ni noma
 
Abdalah Majura
 
Ingia you tube, watakupa terms and condition kuna form utajaza, pia uende tcra ukasajili channel yako, malipo utajua kwenye form ya you tube huko, hebu fanya uende
Wengi ni wavivu kusoma terms and conditions ndio maana inaleta huu ukakasi.
 
Ulichoongea kina make sense Hamna hela rahisi
 
Umeeleza vyema sana.
 
Dude you know what you are talking,wengi wanajua video kuwa views wengi ndio hela,ishu ni kuangalia tangazo bila kuskip.Thanks for info
 
Ngoja nikupuuze, manake hujui lolote!!!
 
Yaani unaropoka tu kwamba nilikuwa na-share humu bila kujua nilikuwa na-share nini??!

Badala ya kuropoka na kuongea usiyoyajua, ulitakiwa kwanza kuuliza!!! Huo usanii wa ku-share link for Adsense ambao kimsingi ni illegal unafanyika sasa na sio miaka niliyokutajia mimi!!!

In short, HUJUI LOLOTE, na mwenyewe umeshathibitisha kwa kusema :- Kubishana na mtu wa aina yako, ni kupoteza muda manake hata unachobishania chenyewe huna uzoefu nacho, na reference yako ni kwa vitu vya kusikia!!!
 
Wote mko sawa lakini Millard ayo atafungua radio yake inawezekana mda wake bado, pia wengine anapata pesa mahali nyingi tu bado Anakaa pale pale Labda kaweka mda wake pale au mkataba wake bado Kama tu harmonize asante
Mkataba ni kitu cha kawaida endapo ujira wako ni wa kulipwa kwa kwezi unatoa notice ya siku 30 kazi inaisha, au labda kama aliambiwa na clouds tunakujengea hii ayo TV kwa kiasi fulani itabidi ukirudishe hiki kiasi kwa namna fulani..kitu ambacho hakijafanyika maana yeye mwenyewe alishawahi kusikiwa akisema ametupia pesa zake kusave na kujenga studio ile...
 
Duuh! Mbona kama kuna hela huko?
Vipi na wewe hauna channel Youtube? Maana kama Rafiki zako wanaingiza hela hiyo, nadhani huwezi ukaachia chance hiyo na wewe.
 


Mwana unalichonga ngenga tu hapa, unaleta za kibandidu hapa utaishia kuzogoleka hadi utambwela.

Fanya iwe mukide leta statis za channel yako na malipo, acha mboyoyo za kikuda, kama kuna jenerali kuna kuruta, kama kuna wanaopiga $ 2500 kwa 1 M views kuna wanaopiga $ 600 na hata $300..ni vyema kumuhakikishia anaeingia jeshibukuruta ashaupata kuliko kumpa ndoto za ujenerali

zima fegi, vua chupi, kaa pembeni.

Peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…