Nashuhudia asali inaponya insect bite immediately. Halafu inatibu pia kidonda cha kuungua (nadhani inazuia infection na kuendelea kwa moto kwenye tissue, hii inazuia malengelenge)
Nimepata matumizi mengine. Nitajaribu kuitumia kwa unga wa cinnamon, manake ile ya kunywa inanishinda kwa uchungu.