byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,059
- 946
Faida ya Benki ya CRDB imeshuka kutokana na mikopo isiyolipika.
Ni nini tatizo wakati uchumi unakuwa?
Karibu tujadili
Ni nini tatizo wakati uchumi unakuwa?
Karibu tujadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida ya Benki ya CRDB imeshuka katokana na mikopo isiyolipika
ni nini tatizo wakati uchumi unakuwa?
karibu tujadili
Ferrie stories have no Good EndingsAwamu ya 5 uchumi unakuwa kwenye makaratasi
Duh mie mizigo wa hisa za CRDB niliutua pale nilipoona kwenye Soko la hisa hazifanyi vizuriLeo nimemshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa CRDB akitangaza kuwa mwaka huu gawio kwa kila hisa ni tshs.5.00. Naomba mnielekeze jinsi ya kuuza hisa zangu za CRDB. Nitazirudisha siku Dr. Kimei atakapondoka CRDB. Sababu aazotueleza haziingi akilini eti wana mikopo isiyolipika. Hayo hayatuhusu sisi Wanahisa.
uuze kwa hasara alafu uje kununua tena zikipanda?Leo nimemshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa CRDB akitangaza kuwa mwaka huu gawio kwa kila hisa ni tshs.5.00. Naomba mnielekeze jinsi ya kuuza hisa zangu za CRDB. Nitazirudisha siku Dr. Kimei atakapondoka CRDB. Sababu aazotueleza haziingi akilini eti wana mikopo isiyolipika. Hayo hayatuhusu sisi Wanahisa.
Ukitaka kuhoji chanzo cha faida CRDB kushuka sharti utathimini uendeshaji wa CRDB kabla ya Magufuli kuingia madarakani. Wao CRDB wanatangaza kushuka faida kisa bad loans lakini kuna benki nyingi ndogo ambazo hazina bad loans kiasi cha kuaffect faida. CRDB wana madudu mengi waliyokuwa wanayafanya, lazima yawaumize. Ninachowapongeza CRDB ni kitu kimoja tu, walitumia nafasi yao vinzuri kuwekeza kwenye technology.
jazack llah khyraAsante kwa taarifa
!
!
!
Nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan
Ivi iyo faida ya 5,unaizidisha kwa hisa ulizonazo,mfano una hisa 1000 unaizidishia kwa 5 ili kujua faida yako amaLeo nimemshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa CRDB akitangaza kuwa mwaka huu gawio kwa kila hisa ni tshs.5.00. Naomba mnielekeze jinsi ya kuuza hisa zangu za CRDB. Nitazirudisha siku Dr. Kimei atakapondoka CRDB. Sababu aazotueleza haziingi akilini eti wana mikopo isiyolipika. Hayo hayatuhusu sisi Wanahisa.
itakuwa ndo hivyo mkuu ngoja wataalam wa finance wajeIvi iyo faida ya 5,unaizidisha kwa hisa ulizonazo,mfano una hisa 1000 unaizidishia kwa 5 ili kujua faida yako ama
Ivi crdb huwa wanatuma lini gawio kwa wateja
End junewalishatuma tangu mwezi may au early june kama sijakosea
Early june au mwishoni mwa mwezi may. sikumbuki exact date.End june