Faida ya benki ya CRDB yashuka ,wanahisa wapata gawio nusu ya mwaka jana.

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,059
Reaction score
946
Faida ya Benki ya CRDB imeshuka kutokana na mikopo isiyolipika.
Ni nini tatizo wakati uchumi unakuwa?
Karibu tujadili
 
Sasa hilifungu la kushusha riba na kukopesha kwa miaka 7 wamepata wapi?
 
Ukitaka kuhoji chanzo cha faida CRDB kushuka sharti utathimini uendeshaji wa CRDB kabla ya Magufuli kuingia madarakani. Wao CRDB wanatangaza kushuka faida kisa bad loans lakini kuna benki nyingi ndogo ambazo hazina bad loans kiasi cha kuaffect faida. CRDB wana madudu mengi waliyokuwa wanayafanya, lazima yawaumize. Ninachowapongeza CRDB ni kitu kimoja tu, walitumia nafasi yao vinzuri kuwekeza kwenye technology.
 
Arusha. CRDB Bank netted Sh36 billion as profit last year, almost a half of what one of the largest lenders in the country generated in 2016.

The drop in profit has been attributed to accumulation of non-performing loans (NPLs) and other challenges facing the financial sector, the managing director Charles Kimei said here on Wednesday.

Currently the bank has outstanding loans amounting to Sh3 trillion, prompting it to devise several strategies to woo more clients, including reducing interest rates for borrowers and attract more clients.

During 2016 CRDB made a profit of Sh63.7 billion with the dropping levels also attributed to an initiative set to clean up the loans book.

The profit scenario also indicated a downward trend even this year as only Sh13.6 billion was realised in the first quarter of this year (January to March), down from Sh26.18 billion during the same period last year.

The MD, who was addressing journalists ahead of the 23rd shareholders’ conference on Saturday, said he was confident the strategies laid down would see the bank soaring high again.

“We are expecting more profits. We believe in sustainability”, he said , promising that shareholders would be paid dividend and that this would be announced during the coming meeting.

He assured that the liquidity position of the bank was stable and that efforts to reduce the interest rates for borrowers, specifically the small and medium size entrepreneurs (SMEs).

“We want more clients,” Dr Kimei said, noting that the 22 year old financial institution was also struggling to diversify its client base and that it was still leading in capital assets and branch network.

CRDB Bank was established in 1996 when the then state-owned Cooperative and Rural Development Bank was privatised and recapitalised with the support of Danish aid agency, Danida.

Currently it has three subsidiary companies being CRDB Microfinance, CRDB Insurance Brokerage Limited and CRDB Bank Burundi.
According to Dr Kimei, the bank has full fledged 262 branches across the country, 15 mobile branches, 534 ATMs, 1,000 points of sale and 3,000 Fahari agents.

Statistics issued in December last year, indicate the bank’s assets - the capital and savings - to be at Sh 5.4 trillion equivalent to a quarter of the government’s annual budget expenditure.

The were estimated at Sh.4.1 tr while loans issued have climbed to a whopping Sh.3.5 trillion The savings stand at Sh.4.3 trillion which, according to the bank boss, was Sh. 300 billion more than the financial institution’s closest competitor.

CRDB has been the leading bank in Tanzania from 2005, mainly due to its capital assets and branch network.

Last year it was declared the ‘safest’ bank by an American magazine Global Finance.
     
 
Leo nimemshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa CRDB akitangaza kuwa mwaka huu gawio kwa kila hisa ni tshs.5.00. Naomba mnielekeze jinsi ya kuuza hisa zangu za CRDB. Nitazirudisha siku Dr. Kimei atakapondoka CRDB. Sababu aazotueleza haziingi akilini eti wana mikopo isiyolipika. Hayo hayatuhusu sisi Wanahisa.
 
Duh mie mizigo wa hisa za CRDB niliutua pale nilipoona kwenye Soko la hisa hazifanyi vizuri
 
uuze kwa hasara alafu uje kununua tena zikipanda?
 

Fafanua hayo madudu...vinginevyo utakuwa huna tofauti ma mwandishi wa Ijumaa Weekenda!
 
Ivi iyo faida ya 5,unaizidisha kwa hisa ulizonazo,mfano una hisa 1000 unaizidishia kwa 5 ili kujua faida yako ama
 
Ivi iyo faida ya 5,unaizidisha kwa hisa ulizonazo,mfano una hisa 1000 unaizidishia kwa 5 ili kujua faida yako ama
itakuwa ndo hivyo mkuu ngoja wataalam wa finance waje
 
Ivi crdb huwa wanatuma lini gawio kwa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…