Faida ya bima ya afya kwa mwana chuo.

Faida ya bima ya afya kwa mwana chuo.

kingsley

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Jama naomba kuelimishwa katika hiki kitu bima ya afya kwa wanachuo hususani faida zake kwa mwanafunzi kwa sababu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambacho ni cha serikali katika chuo hiki wanafunzi tunachangia 70000 za matibabu lakini hakuna utaratibu wa bima ya afya kama baadhi ya vyuo kwa hiyo unapata matibabu ukiwa chuoni tu nje ya chuo hupati kwa hiyo mi kama mwanafunzi na mdau wa elimu tz nataka kukishauri chuo kiwasaidie wanafunzi ktk hili swala ila kabla ya kufanya hivyo naona nipate ushauri kwanza kutoka kwa watu makini kuhusu faida na hasara ili nisije kuwa naruka mwiba na kukanyaga msumari .karibuni.
 
Back
Top Bottom