Sodium 23 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 483 Reaction score 491 Dec 4, 2019 #1 Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Jan 3, 2020 #2 uwakala wa BENKI huwezi ufananisha na vi sh 300 vya Miamala ya Simu,hivyo basi kama pesa unayo Fatilia uwakala wa BANK utanikumbuka mbele ya safari huko.
uwakala wa BENKI huwezi ufananisha na vi sh 300 vya Miamala ya Simu,hivyo basi kama pesa unayo Fatilia uwakala wa BANK utanikumbuka mbele ya safari huko.