Faida ya kujisajili kituo cha uwekezaji

Faida ya kujisajili kituo cha uwekezaji

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
14,244
Reaction score
10,073
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua faida gani unapata ukisajiLi mradi/miradi(project/projects) kwenye kituo cha uwekezaji Tanzania(TIC).

Na kusajiLi mradi ni kuna gharama yoyote mwenye mradi anatakiwa kulipa au hamna?
 
Back
Top Bottom