Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
MAHITAJI:
Nyanya inaupatia mwili wetu faida zifuatazo. Vitamin C, A na K
Pottasium
Manganese
Ufumwele
Cromium
Vitamini B1 na B6
Chuma
Kopa
Vitamin B2 na B3
Magnesium
Folate, Phosphorous
Protini ingawa kwa kiasi kidogo.
Tryptohan, Folate na Molybdenum.
Pottasium
Manganese
Ufumwele
Cromium
Vitamini B1 na B6
Chuma
Kopa
Vitamin B2 na B3
Magnesium
Folate, Phosphorous
Protini ingawa kwa kiasi kidogo.
Tryptohan, Folate na Molybdenum.
Wengi wetu tunafikiri nyanya hazina umuhimu sana kwa mwili, lakini labda kwa kujua yanayopatikana ndani yake, tukabadilika mawazo yetu.Nyanya si kiungo cha chakula tu kinachotoa ladha nzuri kwenye mchuzi, na kachumbari lakini pia zina faida kubwa kwa mwili.Kweli inabidi kwa kujua hivyo, tusiidharua nyanya tena!