Kula ugali huwa twala nakushiba na.sio kulamba lamna yaan kuonja
Sasa ukila ugali mchana na kushiba sana na.jua lile kali huwa mwili unajifeef kuchoka nakufeel usingizi ila kama ukala ugali asubuhi ya kama saa4 hivi then ukaaendeleza na.kaz ngumu waweza piga kaz bila fatigue mpk saa kumi na mbili jion bila njaa wala uchovu..
Hata kama ukilejea enzi shule boarding ukinywa uji asubuhi unafeel usingiz balaa na baada ya kula ugali.mchana unafeel uchovu sana..
Nikiwaga bush kwa bibi na babu huwa tunaamka saa kumi na moja nakwenda shamba then saa nne tunakula ugali wa nguvu na kumpumzika kidogo na baada.ya muda tunaendelea na.kazi mpk jion tunaludi kuoga then tunapata kindi,kimpumu au komoni huku tukitegemea saa tatu usiku tunakula chakula cha jion..maisha ni.murua bila uchovu
Ila uzungu uzungu huu wanashaur asubuh kula chakula kilain kama supu,uji,chai nk ..mchana kula chakula cha nguvu kma.wali,ugali nk jiom.haitakiwi kula sana eiza jion yafaa kula hata matunda tuu wanasema ni afyaa bora..ila babu yangu kaishi mpk.sasa ana miaka 75 na.yupo fiti na hapagawi na.hizo diet za kizungu ..usiku unatakiwa kushiba ili asubuh uamke na nguvu za kufanya kaz kw nguvu
Wazungu wanasema usiku oga kwanza kabla ya kula na baada ya kula jipumzishe kidogo usiende moja kwa moja kulala na usinywe maji baada ya kula inatakiwa usubir kama nusu saa hivi au pungufu ndie unywe maji au ulale ila babu yangu tukitoka kwenye pombe za kienyeji.huwa tunakula na.kunywa maji na kulala....
Ugali wa asubuhi ni mtamu sana..huo uzungu unapunguza starehe kibaoa kwakweli
So mwana ugali ni bomba tuu asubuhi,unakula na unapiga kazi zako bila kiwaza lunch,then jion unapiga chakula cha nguvu matata