lendanai JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 375 Reaction score 280 Feb 28, 2015 #1 Habari wadau,nifuraha yangu kupata nafasi ya kujumuika na nyie humu jf,mm nilikua naomba kama kuna anayejua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic shave atujulishe,ni hayo tu wadau karibuni tujadili......
Habari wadau,nifuraha yangu kupata nafasi ya kujumuika na nyie humu jf,mm nilikua naomba kama kuna anayejua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic shave atujulishe,ni hayo tu wadau karibuni tujadili......