majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Wajuzi wanadai mwili wetu una maji 90%, na ndiyo maana naamini kabisa Bw. Ray Kigosi yuko sawa kabisa alivyotuashauri na kusisitiza tuwe tunakunywa maji mengi yanasafisha mwili..!
Picha kKabla hajaanza kunywa maji mengi sana!
Baada ya kuanza kunywa maji mengi!
Picha kKabla hajaanza kunywa maji mengi sana!
Baada ya kuanza kunywa maji mengi!