majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Mwambie na yeye aweke picha yake ya miaka saba au sita iliyopita tumthaminishe..maana wabongo twapenda kuwashikilia bango wenzetu..Hiyo ni editing tu... Nilikutana nae maeneo flani hivi jijini... Aah wala sio mweupe sana kama anayoonekana kwenye picha. Ana weupe wa wastani tu .
Rangi ya Ray ni ya chanikiwiti iliyochanganyikana na samaradi, mawia, kahawia, hudhurungi na chanikiwitiHiyo ni editing tu... Nilikutana nae maeneo flani hivi jijini... Aah wala sio mweupe sana kama anayoonekana kwenye picha. Ana weupe wa wastani tu .
🙂😉 Mbavu zangu zaniuma...Hahahahaha...Rangi ya Ray ni ya chanikiwiti iliyochanganyikana na samaradi, mawia, kahawia, hudhurungi na chanikiwiti
Yeap! Watu wanadata na editingHiyo ni editing tu... Nilikutana nae maeneo flani hivi jijini... Aah wala sio mweupe sana kama anayoonekana kwenye picha. Ana weupe wa wastani tu .