Faida ya kuota jua kwa ajili ya kupata vitamin D mwilini

Faida ya kuota jua kwa ajili ya kupata vitamin D mwilini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1002402_10151427508496316_433276479_n.jpg


A preliminary review of individual reports strongly suggests that high-dose vitamin D may be one of the most effective treatments yet discovered for irritable bowel syndrome (IBS)


======


Watu wengi huwa na upungufu wa vitamini D kwasababu hawatoki nje kupata mwanga wa Jua ambao huchochea seli katika ngozi ya mwili

Seli hizo huzalisha Vitami D inayoboresha afya ya mifupa na meno na kukukinga na hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya moyo, kisukari na saratani.

Vitamini hii utunzwa chini ya ngozi na usaidia mwili kufyonza madini ya kalsiumu kutoka tumboni ambayo uimarisha na kuzuia kulika au kuvunjika kwa mifupa na kutengenezwa kwa insulini ambayo usaidia kupunguza sukari mwilini

Aidha, kwa wale wazembe wa kuota jua la asubuhi vitamini hii pia inaweza kupatikana kwenye mayai, samaki, maziwa, maini, nafaka na uyoga.
 
Hahaha dr umenikumbusha kuota jua kunazuia matege lol. Jua tunaliota saa ngapi naac zinatuumiza vifua toka alfajiri hadi usiku?
 
...but always remember that too much of anything is harmful.
kila kitu na kina kipimo chake mkuu hujambo lakini?

Hahaha dr umenikumbusha kuota jua kunazuia matege lol. Jua tunaliota saa ngapi naac zinatuumiza vifua toka alfajiri hadi usiku?
Huko kwenu Jua lipo kila wakati kuanzia asubuhi mpaka kunakuchwa huku tulipo sisi jua ni Big deal kuna wakati wa baridi jua ndio halipatikani sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakumbuka nilifundishwa shule jua ambalo litakusaidia kupata Vitamin D bila madhara ni lile la asubuhi na la jioni...Hapo kati mionzi ya jua ni mikali sana unaungua....:becky:Unaweza kutumia suncream i guess!!!
 
Back
Top Bottom