Faida ya kuwa Dar

Ni kweli kabisa mkuu, nikienda huko sikai hata wiki nageuza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupo wengi mkuu. Mimi nimeshazowea asubuhi nagonga nguna, mchana muhogo wa nazi kwa samaki, jioni nguna. Nina mwaka wa 30 sijawahi kunywa chai sijui na vichapati vya mia tano sijui.
 
Ile 33% ya wanaume wapo Dar
Hongereni wakija likizo msiwasindikize
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupo wengi mkuu. Mimi nimeshazowea asubuhi nagonga nguna, mchana muhogo wa nazi kwa samaki, jioni nguna. Nina mwaka wa 30 sijawahi kunywa chai sijui na vichapati vya mia tano sijui.
Uko vizuri sana mkuu...tudumishe utamaduni wetu
 
Umeingiza sh ngap kuwa jf

the great
Napata news zaidi ya zinazotangazwa redioni na tv, na sio kuringia magorofa ya matajiri meanwhile napanda daladala kama wa mkoa, see the difference?
Vyote ulivyotaja havikufaidishi lolote ktk maisha yako ya kila siku. Usikute unaona kwenye tv kama wa mikoni tu na majengo kuyapita nje sababu huna shughuli za kukupeleka ndani
Again, pumba dot com.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…