Faida ya kuwa Dar

Dar inaingoza chaputa

the great
 
Tz ya viwonder maana hakuna hata kitu kimoja chenye faida binafsi kwa kijana wa kisasa.
Bila shaka wewe utakuwa CENDY BASHITE
 
wanaume wanaokula ubuyu na ice cream barabarani wapo Dar. wanaume wanaopaka poda na kunywa vidonge vya kujichubua wapo dar. si bora nikae mkoani hukuhuku tu nipigwe vumbi?
 
Hata wenye upungufu wa mambo yetu yale 63% wapo Dar.
Wakimbia panya road pia wapo Dar.
Mbaya zaidi mashoga wengi pia wapo pande hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…