Faida ya madafu

Joined
May 16, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Habari zenu wakuu!
Naombeni mwenye kuwa na ufahamu tujuzane juu ya faida zinazopatikana ndani ya madafu kiafya ndani ya miili yetu......
 
Kudhibiti Kisukari, nidawa kwa aliye vimbiwa, Kuipa ngozi afya, kuboresha mzunguko wa damu katika kichwa, husaidia ukuaji wa nywele, tunapata vitamini K na madini ya chuma, kinga dhidi ya bacteria, nikinga nzuri sana kwa mama na mtoto wakati wa ujauzito, husaidia katika mzunguko mzuri wa oxygen mwilini, huondoa msongo na wasiwasi pia huzuni, kuvunjavunja mawe kwenye figo. Nivyema kula madafu kwani yanafaida kedekede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…