A allina Member Joined Mar 7, 2014 Posts 76 Reaction score 13 Jun 6, 2014 #1 Hivi kuna chakula gani kipo ndani ya maziwa mgando(mtindi) na nini faida yake mwilini?
Matege JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 1,476 Reaction score 648 Jun 8, 2014 #2 km ni she, ni mazur coz yana bacteria wazur wanaodaidia kumaintain mazingira ya uke. na wale wagonjwa wa hepatitis b ni mazur kwao kupunguza makali y ugonjwa
km ni she, ni mazur coz yana bacteria wazur wanaodaidia kumaintain mazingira ya uke. na wale wagonjwa wa hepatitis b ni mazur kwao kupunguza makali y ugonjwa
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,472 Jun 8, 2014 #3 kwa watu wa chumvini je?