Faida ya mlima na tambarare;soma hapa

wewe unapenda wako anyoe vipi?me napenda kiduku,hahaa
 
mmggh! tupe ufahamu kiongozi,...aksante sana.
 
Mi huwa natembeaga na topazi kabisa kwenye pochi nikikutana na msitu huwa naufyeka wote baada ya hapo ndo game linaanza

Du mshikaji angalia usije wakeketa wenzio au we ngariba nini?
 
Aaahhh Kua Uyaone na Uyasome!!!!!!!!!!!!!
 
Nyie hebu acheni kujadili vipochi manyoya vyetu.
 
Kwa maoni ya wengi mpaka sasa, nashukuru kwa kunipa moyo kumbe bamsapu anaenjoy, mi hutumia kpr, zikikuwa sana basi ni robo sentimita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…