Kwa hiyo mkuu walioipandisha hadi uchumi wa kati walitumia vigezo gani labdaUnapozungumzia nchi kuwa katika uchumi wa kati then inatakiwa 80% ya wanachi wanatakiwa kuwa na kipato ambacho wakitumia 50% ya hicho kipato basi 80% ya matizo yao yawe yamesolviwa. Na hiyo 50% inayobaki itumike kama akiba.
Sasa unapokuwa na inchi ambayo 100% ya mshahara inasolve 10% ya matatizo hapo unakuwaje na uchumi wa kati?!
Ni upumbavu tu. Hii inchi ni ya watu mafukara wa kipato.
.
Ngoja niendelee kuvuta subira.Me pia nasikilizia wajuzi watupe ABCs lakin wapi, bila bila mpaka sasa
[emoji3][emoji3][emoji2]daah watanzania mna manenofaida take in kuwa licha ya Rwanda Na kagame kujimwmbaafai kuwa wametengeneza sijui drone sijui wana pesa sijui ni mini vile lakini bado in nchi masikini ya kutupwa..kongole Tanzania
Mkuu haiangaliii uchumi wako binafsi au wa Kijiji chako....wanachukua pato la nchi kwa mwaka wanagawanya kwa idadi ya wananchi!!....vitu vingine wanaangalia n miradi gan nchi inaitekeleza !!Faida yake ni kwa kina mataga tuuuu...wanaitumia taarifa kuwadanganya watanzania ili wapate kula zaidi...maana unaponiambia uchumi wa kati kwa mapambio then huku kijijini hatuoni hiyo faida ...maana matatizo yanazidi..badala ya kupungua....SITAKUELEWA...
Kenya iko kipato Cha Kati unafikir wanatimiza hicho kigezo chako mkuu...?Unapozungumzia nchi kuwa katika uchumi wa kati then inatakiwa 80% ya wanachi wanatakiwa kuwa na kipato ambacho wakitumia 50% ya hicho kipato basi 80% ya matizo yao yawe yamesolviwa. Na hiyo 50% inayobaki itumike kama akiba.
Sasa unapokuwa na inchi ambayo 100% ya mshahara inasolve 10% ya matatizo hapo unakuwaje na uchumi wa kati?!
Ni upumbavu tu. Hii inchi ni ya watu mafukara wa kipato.
.
Kwa hiyo mkuu walioipandisha hadi uchumi wa kati walitumia vigezo gani labda
Hilo ndilo la kustaajabisha. Unajua katika kupima level ya maendeleo kuna namna tofauti. Wapo ambao hupima shughuli za ukuaji wa miundombinu kama barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, majingo ya kutolea huduma mfano hospitali, mashule, na maofisi, na kadhalika.... Hii inaweza kuiweka nchi katika daraja aidha la nne, tatu, pili au moja kutokana na namna wanawekeza pesa yao au thamani ya mtaji katika hizo miundo mbinu.Kwa hiyo mkuu walioipandisha hadi uchumi wa kati walitumia vigezo gani labda