Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.

352d2b573a7444c1b1ccb55496fd6b01.jpg
 
Yes yes. Huyu ndo Mhe. Samia Suluhu Hassan. Diplomasia ya Uchumi hoyeeee
 
Haya mazwazwa enzi ya dikteta yalisema nchi ni tajiri haihitaji wawekezaji leo yanageuka
 
Safi kabisa, tujisogeze duniani, tufanye biashara na dunia. Mambo ya kujikunyata na kujifichaficha hayatatusaidia.
 
Moderator
 
Huu utapeli wao kijinga wa ccm utaisha lini, kuna wakati alikuja George bush na Obama porojo zalikuwa zaidi ya hizi. Muwekezaji gani serous atakuja kwenye nchi ambayo sheria zanababilikabadilika kutokana na tabia binafsi za rais?
 
Wewe nae ni pimbi tuu wa huko ufipa.

Wakati wa Bush na Obama Tzn ndio ilikuwa mnufaika mkubwa wa pesa kuliko Nchi zote za Africa via MCC na Pepfar..

Faida mojawapo ni hizi hapa 👇

Screenshot_20220225-095314.png
 
Wewe nae ni pimbi tuu wa huko ufipa.

Wakati wa Bush na Obama Tzn ndio ilikuwa mnufaika mkubwa wa pesa kuliko Nchi zote za Africa via MCC na Pepfar..

Faida mojawapo ni hizi hapa 👇

View attachment 2131085

Hizi sifa za kijinga ni kama zile za kusema mtoto wako amekuwa wa kwanza darasani, lakini ukiangalia amepata division IV. Yaani amekuwa wa kwanza dhidi ya wajinga wengi. Kwa maneno marahisi ni mjinga mwenye nafuu.
 
Back
Top Bottom