Faida ya Tunda la Apple (MATUFAA) kwa Afya, Lishe na Matibabu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363





MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA

"An apple a day will keep the doctor away An apple before bed makes the doctor beg his bread"

(kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya kuonana na daktari kula tunda la tufaa kila siku

humkosesha daktari mapato yake). Misemo hii ya Waingereza inaonyesha umuhimu wa matunda ya matufaa

kwa ajili ya kudumisha afya ya binadamu, kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali. Matufaa yana Vitamini K,

nyuzinyuzi za chakula pamoja na dawa-lishe (phytochemicals) aina ya quercetin flavonoid.

Faida za kiafya

Matufaa ni tiba nzuri ya ugonjwa wa kuharisha.

Husaidia katika matibabu ya uvimbejoto wa utumbo (colitis)

Husaidia katika matibabu na kuzuia shinikizo la damu

Husaidia katika tiba na kuzuia magonjwa ya mzio (allergy) pamoja na pumu ya mapafu.

Hutibu tatizo la kupata choo kikavu au kutokupata choo (constipation)

Ni dawa nzuri sana kwa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.

Husaidia katika matibabu na kuzuia mawe katika figo.

Hupunguza hatari ya kupata saratani ya mapafu, saratani ya utumbo na ugonjwa wa kisukari.

Huimarisha afya ya ini.

Husaidia figo kuondosha sumu aina ya uric acid ndani ya damu.

Matumizi na kipimo

Kwa ajili ya tiba kula matufaa kiasi cha kilo mbili kila siku kwa muda wa siku saba mfululizo.

Kunywa juisi ya matufaa bilauli moja kila baada ya saa nane kila siku.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Ngoja nipitie supermarket nikanunue ndoo mbili za matufaa...
 
Sikujua lina faida namna hii. Maadam nimeshindwa kuachana na bia... acha nitumie matufaa kupambana na presha badala ya dawa za hospitali
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
Hayo makitu yamenimalizia malaki ya shilingi na sijaona lolote. Jamaa walibyokuwa wananikonvisi niliamini kabisa ntapona.. kinyume chake fedha zangu za kunywa bia zimeteketea bure bileshi
 
Hayo makitu yamenimalizia malaki ya shilingi na sijaona lolote. Jamaa walibyokuwa wananikonvisi niliamini kabisa ntapona.. kinyume chake fedha zangu za kunywa bia zimeteketea bure bileshi
Sidhani kama ulitumia stem cell therapy kweli
 
Sidhani kama ulitumia stem cell therapy kweli
Usithubutu kuulizia vumbi stoo. Najua kila kitu labda kabla hujaanza kuwa wakala. Nimepitia stage zote... kwa gharama kubwa na matumaini ya juu... matokeo yake ni millions zilipotea bila mafanikio yoyote... sio kwangu tu bali hata kwa baba yangu mzazi ambae hatumii alcohol...

Usiendelee maana naweza haribu soko lako. Piga kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…