Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI.
Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki wengi, lakini ukisoma hapa na kujua faida zake mwilini.
Mwenyewe utaanza kulipenda tu. Maana fenesi Lina vitu kitaalamu vinaitwa; lignan, isoflavone na saponin ambavyo vinasaidia kwenye mambo yafuatayo;
(1) Inazuia cancer, kuzuia cancer na kutibu cells zilizoharibiwa na cancer, na magonjwa yanayotokana na uharibifu wa mazingira.
(2) Inasaidia mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri, sababu fenesi Lina potassium, magnesium na iron nyingi hivyo moyo wako unakuwa katika hali ya usalama.
(3) Inasaidia tatizo la kukosa choo na kuondoa gesi tumboni, kaanga mbegu za fenesi bila mafuta au zichome kisha unakula, au unaweza kuzitwangwa/ saga baada ya kuzikaanga kisha unatia kwenye kinywaji kama chai una kunywa.
(4) Linatibu vidonda vya tumbo, chemsha mizizi ya mti wa fenesi kisha una kunywa maji yak
(5) Linatibu tatizo la kuwahi kufika kileleleni kwa wanaume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
1. Kula fenesi lililoiva vizuri mara kwa mara au 2. kaanga bila mafuta au choma
mbegu za fenesi kisha unazila kama Karanga kwa wingi mara kwa mara au, 3. Tengeneza smoothe ya fenesi, unachukua zile nyama za fenesi kiasi unachootaka tia maziwa kidogo kisha saga kwenye blender na unywe. Matatizo yako yataisha
(6) Kwa wanawake walio katika menopause na wanawake walio na miaka 30 na zaidi, kwa kurutubish ngozi na kuondoa mikunjo na ukavu katika ngozi, ukavu na kukatika nywele; chukua mbegu
mbichi za fenesi loweka katika maziwa zaidi ya nusu saa, kisha saga katika blender huo mchanganyiko, unaweza
kunywa mchanganyiko wako huo na kwa ngozi unaweza kupaka usoni na sehemu za ngozi zenye mikunjo na baada ya nusu saa unaosha. Haina haja ya kutumia anti-aging products.
Natumaini sasa utaanza kula fenesi, kwa bidii kwa afya ya mwili na ngozi yako pia.