Faida ya tunda la tango

eti ni kweli ukidondosha tone la maji maji ya tangondani ya macho, macho yanakuwa meupeeee?
 
Pia ni nzuri kwa wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo ukila pamoja na maganda yake. Nimetumia sasa nakula vyakula vyote nlivoshindwa kutokana na vidonda na ni mda mrefu cjackia maumivu ya vidonda.
 
MziziMkavu uko juu sana safi sana kwa somo hakika tunapata mengi ndani ya jamii forum na ndio makusudio ya forum hii. Ubarikiwe sana mkuu pamoja sana
 
Mkuu gody Nani wewe aliyekuongopea kuwa ukila Tango na Asali utakufa? au ukila Limau na Asali utakufa? mbona mnaongopewa na hao wanaokuambieni maneno ya uongo mkubwa mimi nina kula kila siku Tango na asali na maji ya Uvuguvugu mbona sjafa? acheni mambo ya uzushi huo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…