Faida za Biashara viazi mviringo

Faida za Biashara viazi mviringo

Batumunwa

Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
5
Reaction score
2
Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
 
Ulizia walioko field huko yaani wafanyabiashara masokoni..katika 10 lazima utambahatisha hata mmoja1 wa kikueleza ukweli
 
Back
Top Bottom