B Batumunwa Member Joined Jul 24, 2021 Posts 5 Reaction score 2 Feb 26, 2025 #1 Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Feb 26, 2025 #2 Ulizia walioko field huko yaani wafanyabiashara masokoni..katika 10 lazima utambahatisha hata mmoja1 wa kikueleza ukweli
Ulizia walioko field huko yaani wafanyabiashara masokoni..katika 10 lazima utambahatisha hata mmoja1 wa kikueleza ukweli
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Feb 26, 2025 #3 Mbatata
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Feb 26, 2025 #4 Mbatata Ina hela kama unamtaji anza biashara kikubwa hakikisha una mawasiliano mazur na maagent wa soko husika .
Mbatata Ina hela kama unamtaji anza biashara kikubwa hakikisha una mawasiliano mazur na maagent wa soko husika .
B Batumunwa Member Joined Jul 24, 2021 Posts 5 Reaction score 2 Feb 26, 2025 Thread starter #5 MIXOLOGIST said: Mbatata Click to expand... Yes . Mviringo