Faida za Biashara ya mitandao ni zipi?

kamikaze tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
232
Reaction score
174
Wakuu heshima kwenu,
Humu najua ni wajuzi wa kuelimishana mambo mengi, Kufuatia mabadiliko ya kibiashara kwa sasa, biashara zimebuniwa nyingi za kuingiza vipato, naomba kujuzwa faida ya biashara za mitandao ya kijamii, kama vile Forum au blogs, nikiwa namiliki napata faida gani? Au ni kutegemea matangazo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…