Ni account ya muda maalumu either miezi mitatu,sita au mwaka.Ambapo unaweka kiasi chochote kisichopungua milioni moja na huwezi kuongeza wala kupunguza baada ya kudeposit.km riba hazijabadilika basi utapata faida ambayo Mara ya mwisho nakumbuka ilikua ni 3% ya pesa uloweka ktk mwaka.ikitokea unataka kutoa ile pesa kabla ya muda kufika basi utagawana kiasi cha faida na benki so faida itakua chini ya riba husika.