Faida za Hot Massage Katika Mwili

Joined
Aug 18, 2016
Posts
47
Reaction score
26
1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele.

2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo.

3. Katika Macho: Huweka sawa misuli inayozunguka eneo la macho ( rectus & oblique muscles.)

4. Katika Shingo: Inaondoa uchovu wa mwili na inaboresha mzunguko wa damu katika mwili mzima.

5. Huondoa Msongo wa Mawazo.

6. Katika Misuli: Inaondoa kukaza kwa misuli na kuipa nguvu.

Karibu Happiness Massage Upate Hot Massage ili Uboreshe Afya Yako.

Tunapatikana Lamada Hotel, Ilala Dar es Salaam.

SIMU: 0715 343 161

SMS: 0787 343 161

WhatsApp: 0756 343 161 / 0715 343 161

Jifunze zaidi kwa Kutembelea Blog Yetu www.happinessmassage.blogspot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…