Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Tendo la ndoa linafaida kubwa kiafya kwa mwanaume na mwanamke.
Leo nitazungumzia zaidi faida za kiafya anazopata mwanamke pale anapofikishwa kileleni wakati wa tendo.
Iko hivi; wakati mwanamke anapofika kileleni, mwili wake huwa unatoa hormones za "dopamine" na "oxytocin" ambazo ndizo humfanya asikie "raha na utamu" wa ajabu usioelezeka kwa lugha rahisi. Utamu anaopata mwanamke wakati wa ku-orgasm inaaminika ni zaidi ya mara 7 ya utamu tunaopata sisi Wanaume wakati tunapomwaga shahawa. Baadhi ya Wanawake wengine huwa wanazimia kabisa kwa utamu huo.
Hizi hormones zikiachiliwa mwilini, baada ya orgasm huwa zinaendelea kuwa kwenye mzunguko wa damu kwa muda na kumfanya mwanamke kuwa na furaha wakati wote, macho yake yanakuwa angavu na hata ngozi yake ya mwili inakuwa na mvuto zaidi, inakuwa na mng'ao fulani hivi wa asili. Na hata anapolala huwa anapata usingizi mnono.
Hizi hormones (dopamine na oxytocin) zina nguvu sana mwilini, humfanya mwanamke akupende sana wewe mwanaume uliyemfikisha kileleni. Akisikia harufu yako au akisikia sauti yako tu, uke huanza kuloana (she gets wet) hata kama uko mbali.
Ukimfikisha kileleni, unabaki kwenye akili yake, unamvuruga in a good way. Unamfanya awe na "wivu" juu yako mara elfu. Hata akikuona tu unasalimiana na mwanamke mwingine, moyo wake unapasuka!
Hormones hizi (dopamine na oxytocin) huwa zinafanya kazi nyingine ya kushusha au kuondoa hormone inayosababisha "msongo wa mawazo" (stress) inayojulikana kama "cortisol".
Ndiyo maana Wanawake wanaofikishwa kileleni (orgasm) mara kwa mara, huwa ni wenye furaha sana, wana afya nzuri na hawana kabisa msongo wa mawazo. Hii hupelekea hata kuzeeka kwao huja taratibu sana, mara zote utawaona ni kama vijana wa miaka 25.
Kinyume chake sasa, mwanamke asiyefikishwa kileleni huwa hana furaha, mara zote wanakuwa na mahasira hasira, msongo wa mawazo na hii hupelekea magonjwa ya mara kwa mara na kuzeeka kwa haraka.
Tendo la ndoa lenye "tija" ni tiba muhimu sana kwa mwanamke. Tendo la ndoa lisilokuwa na "tija" ni hasara kwa afya ya mwanamke.
ANGALIZO
Tendo la ndoa ni tendo "takatifu" liliobarikiwa na MUNGU. Tendo hilo ni kwa ajili ya "wanandoa" tu basi.