Faida za Kiafya zipatikanazo Kwa Kunywa juisi ya Rosela/Hibiscus/Karkade

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu.
Zifuatazo ni faida za kutumia Rozela.
Maua ya rosella utengenezwa juisi inayo ongeza damu mwilini kwa haraka
Hutumiwa kama mboga na mbegu zake hutoa mafuta yanayo tumika kama dawa ya vidonda.
Dawa ya magonjwa mbalimbali kama kushusha presha, sukari, uric acid mwilini, inatibu kikohozi na mafua, ina punguza mwili pia hutengeneza ngozi na kuifanya iwe laini.
Maua ya rosela hutumika kutengenezea juisi , chai ,jam, pia hutumiwa kama rangi ya chakula.
Faida zinginezo;
Maua ya rosella yana vitamin C,A,D B1,B2,calcium,magnesium,iron, nk
Muhimu.
Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika.

129970001_10164173565235198_5837124102782925275_n.jpg
 
View attachment 3156567
dah,
haya maua shambani kwangu yamejiotea vya kutosha na sikupanda. majirani zangu, ndungu jamaa, na marafiki hujazana kuchuma na kuzichambua viziri na kuzikausha, si kwaajili ya dawa bali kwaajili ya kutengeneza pombe inayoitwa choya, hasa nyakati za masika.

nadhani wangejua faida hizi wangenufaika kiafya na kiuchumi zaidi 🐒
 
inaradha mbaya!

by the way nyie watabibu au madaktari ama waganga aidha waponyaji kila siku mnakuja na dawa mpya!, kwanini...?

kwanini msiweke mfumo maalumu wa mtu kufuata kutokana na vile inavyohitajika leo utaniambia hayo majani kesho utaniambia mlonge kesho kutwa utaniambia habat soda, baadae utaniambia shilajit, mara pumpkin seeds!, intondogoo alovera!!! it's better to tell us which to follow in sequence!.

by the way mkuu una shilajit kama hauna naipataje na kwa bei gani...?🤣
 
ladha mbaya ki
inaradha mbaya!

by the way nyie watabibu au madaktari ama waganga aidha waponyaji kila siku mnakuja na dawa mpya!, kwanini...?

kwanini msiweke mfumo maalumu wa mtu kufuata kutokana na vile inavyohitajika leo utaniambia hayo majani kesho utaniambia mlonge kesho kutwa utaniambia habat soda, baadae utaniambia shilajit, mara pumpkin seeds!, intondogoo alovera!!! it's better to tell us which to follow in sequence!.

by the way mkuu una shilajit kama hauna naipataje na
kwa bei gani...?🤣
ladha mbaya kivip? unakosea kuitengeneza.kwanza unachemsha majan yake yakipoa inakua juis.unaweka na ka ukwaju kidgo, hiliki na ladha ya vannila.
 
dah,
haya maua shambani kwangu yamejiotea vya kutosha na sikupanda. majirani zangu, ndungu jamaa, na marafiki hujazana kuchuma na kuzichambua viziri na kuzikausha, si kwaajili ya dawa bali kwaajili ya kutengeneza pombe inayoitwa choya, hasa nyakati za masika.

nadhani wangejua faida hizi wangenufaika kiafya na kiuchumi zaidi [emoji205]
Wanajua sana sema pesa kwanza adya baadae [emoji3][emoji3][emoji3]
 
dah,
haya maua shambani kwangu yamejiotea vya kutosha na sikupanda. majirani zangu, ndungu jamaa, na marafiki hujazana kuchuma na kuzichambua viziri na kuzikausha, si kwaajili ya dawa bali kwaajili ya kutengeneza pombe inayoitwa choya, hasa nyakati za masika.

nadhani wangejua faida hizi wangenufaika kiafya na kiuchumi zaidi
 
Back
Top Bottom