Faida Za Kiafya Zipatikanazo Kwa Kutumia Mayai Ya Ndege Kware

Faida Za Kiafya Zipatikanazo Kwa Kutumia Mayai Ya Ndege Kware

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
attachment.php
​

JE WAYAJUA FAIDA NA MANUFAA YA KWARE NA MAYAI YAKE?


Yai la Kware ni zawadi ambayo Muumba ametupatia kama chakula cha
uponyaji.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandao na Majarida ya Afya hususani kutoka kwa matabibu wa Kichina zinaonyesha kuwa mayai ya
Kware yametumika maelfu ya miaka kwa ajili ya kuponya na kuleta nafuu
katika maradhi/magonjwa kama rhinitis, pumu, kikohozi, shinikizo la
damu, kisukari, pamoja na matatizo ya ngozi (eczema na psoriasis).
Katika miaka ya karibuni mayai hayo yameweza kutengenezwa katika mfumo wa vidonge na kuuzwa kwa mtandao (online).


Faida za mayai ya Kware dhidi ya Mayai ya Kuku

Vyanzo hivyo pia vimebainisha kuwa mayai ya Kware yana vitamini na
madini kwa wingi. Pamoja na udogo wa yai hilo, thamani yake kwa ubora
wa lishe ni mara 3-4 zaidi kuliko mayai ya kuku. Mayai ya Kware yana
asilimia 13 ya protini ikilinganishwa na asilimia 11 katika mayai ya
kuku. Mayai ya Kware pia yana asilimia 140 ya vitamini B1
ikilinganishwa na asilimia 50 katika mayai ya kuku. Aidha mayai ya
yana madini ya Chuma na Potassiumu mara tano zaidi ya mayai ya kuku.
Mayai ya Kware yanajulikana kwa kupambana na mzio (allergy) au
diathesis kutokana na kuwa na protini aina ya ovomucoid.

Matumizi ya mara kwa mara ya mayai ya Kware husaidia kupambana dhidi
ya magonjwa katika mfumo wa tumbo kama vidonda vya tumbo. Mayai ya
Kware huimarisha mfumo wa kinga, kuimarisha kumbukumbu, kuongeza uwezo
wa ubongo na utulivu wa mfumo wa neva. Pia husaidia katika matatizo ya
upungufu wa damu kwa kuongeza kiwango cha hemoglobin katika mwili
wakati huo huo kuondoa sumu na metali nzito.

Wachina hutumia mayai ya Kware kutibu kifua kikuu, pumu, na hata
kisukari.Chakula hicho husaidia katika matatizo ya figo, ini, na
kuondoa au kusaidia kuzuia na kuondoa mawe ya nyongo.


Faida ya ziada:

Watoto wanaokula mayai ya Kware hawakabiliwi na magonjwa ya maambukizi.

Kwa wanaume mayai haya yanaongeza nguvu za kiume kwa kuwa yanazalisha
madini ya fosforasi, protini, na vitamini ambayo inachochea uwezo wa
kujaamiana.

Kwa wanawake mayai yanaboresha rangi ya ngozi na kuimarisha nywele.
Baadhi ya wazalishaji wa bidhaa za urembo wanatumia mayai ya Kware.


Watoto kula tombo mayai ni chini ya kutega wanakabiliwa na magonjwa ya
kuambukiza.

Jinsi ya Kutumia mayai ya Kware

Mtumiaji yeyote anayetaka kuimarisha afya yake bila wasiwasi anaweza
kula mayai ya Kware yakiwa mabichi (raw) baada ya kuyaosha katika maji
ya moto ili kuua bakteria wenye hatari. Kwa njia hii kula mayai 3-5
kila asubuhi kujenga mwili, kuimarisha mfumo wa kinga na kuboresha
mwili kimetaboliki.

Pia mayai haya yaweza kuliwa kama yalivyo ( raw), au kupika baada ya
kuchemsha, kukaanga na kuchanganya na vyakula vingine kama kwenye
saladi n.

Kwa watoto, Mayai yanaliwa kwa kupikwa au bila kupikwa (raw)
yanasaidia mwili na uwezo wa kiakili (IQ).

KWA MAHITAJI YA MAYAI PIGA SIMU KWA MAMA EMA

Simu: +255 673 277 366

Trei moja lina Mayai 30 na Bei yake ni Shs. 24,000/- na yai moja linauzwa Shs.800/-
 

Attachments

  • ndege Kware.jpg
    ndege Kware.jpg
    15.3 KB · Views: 3,468
  • Mayai ya Kware.jpg
    Mayai ya Kware.jpg
    197.8 KB · Views: 772
  • Maya? ya ndege Kware.jpg
    Maya? ya ndege Kware.jpg
    161.4 KB · Views: 867
  • Ndege aina ya Kware.jpg
    Ndege aina ya Kware.jpg
    132.7 KB · Views: 780
Asante kwa elimu dunia mkuu, nitakutafuta nikieudi mjini
Mkuu Utanitafuta kwa hii namba na jina hilo hapo.

KWA MAHITAJI YA MAYAI PIGA SIMU KWA MAMA EMA


Simu: 0673 277 366

Trei moja lina Mayai 30 na Bei yake ni Shs. 24,000/- na yai moja linauzwa Shs.800/-
 
Mayai yake yanatisha, yamekaa kikinyaa kinyaa. hayana shombo kweli hayo?????????????
haya tutayatafuta.
 
Last edited by a moderator:
Watu walianza hivi hvi na mafuta ya ubuyu
 
Khaa!! Kumbe promo tu. Hebu tupe na faida ya kuku. Nachukia sana watu wanaotumia ujinga wa wengine kujitajirisha
 
Unayanywa ? Yaan unavunja na kula bila kupikwa?
itakuwa vizuri sana ukiyavunja na kula kuliko kuyachemsha ukinywa mabichi yanfanya kazi kwa haraka zaidi kuliko kuyachemsha Mkuu neelam

Watu walianza hivi hvi na mafuta ya ubuyu
Ninataka Daktari au Mkemia wa kutoka TFD aje kunipinga hapo aje kuleta Pumba zake hapa. Nina Ushahidi tosha haya mayai hayana madhara na ni Dawa kwa kila Maradhi Mkuu UPOPO mimi ndie MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
Last edited by a moderator:


WHY QUAIL EGG IS IMPORTANT

Quail eggs are packed with vitamins and minerals. Even with their small size, their nutritional value is three to four times greater than chicken eggs. Quail eggs contain 13 percent proteins compared to 11 percent in chicken eggs. Quail eggs also contain 140 percent of vitamin B1 compared to 50 percent in chicken eggs. In addition, quail eggs provide five times as much iron and potassium. Unlike chicken eggs, quail eggs have not been know to cause allergies or diathesis. Actually they help fight allergy symptoms due to the ovomucoid protein they contain.


Regular consumption of quail eggs helps fight against many diseases. They are a natural combatant against digestive tract disorders such as stomach ulcers. Quail eggs strengthen the immune system, promote memory health, increase brain activity and stabilize the nervous system. They help with anemia by increasing the level of hemoglobin in the body while removing toxins and heavy metals. The Chinese use quail eggs to help treat tuberculosis, asthma, and even diabetes. If you are a sufferer of kidney, liver, or gallbladder stones quail eggs can help prevent and remove these types of stones.

Below we have addressed some of the more frequent quotes and statements you will find on-line or in literature about the Quail Egg. Typically the statements made about Quail Egg nutrition are taken at face value or even chalked up to folklore. Really, you never see the specifics about each vitamin and mineral the Quail Egg offers and how it helps a human body. So we have elaborated on the most frequently seen Quail Egg benefit statements...
"Quail egg nutritional value is three to four times greater than chicken eggs. For instance, Quail eggs contain 13 percent proteins, compared to 11 percent in chicken eggs."
Why is this important? Because protein is what our body needs to build muscle and use as a long term energy source. Carbohydrates, when consumed and not used by the body end up becoming fat that we carry. Protein found in Quail eggs is of superior quality in that it is accompanied by a very high nutrient load. As follows:

"Quail Eggs contain 140 percent of vitamin B1 compared to only 50 percent in chicken eggs."
Why is Vitamin B1 important? B1 is also called Thiamine. Thiamine is responsible in the biosynthesis of GABA. Deficiency in Thiamine can cause optic neuropathology, Korzkoff's syndrome, a condition called Beriberi (involving neurological system, cardio vascular systems and gastrointestinal systems), malaise, weight loss, irritability and confusion. Thiamine is essential and can be obtained easily by consuming Quail Eggs.

"Quail eggs provide five times as much iron and potassium."

Why are Iron and Potassium (minerals) essential to the human diet? Iron deficiency can result in anemia. Iron is essential in binding to protein and carrying oxygen in the blood. Pre-menopausal women and children are most susceptible to Iron deficiency. An Iron deficiency begins via the main regulatory mechanism of Iron, situated in the gastrointestinal tract. When Iron is not absorbed there, deficiency /anemia can result. Quail eggs, providing 5 times the Iron to a chicken egg are simply a far superior source in so small a portion. Potassium when mildly deficient in humans typically shows no symptoms...However when symptoms do arise from a lack of Potassium intake they can present in the form of muscle weakness, muscle cramps and or constipation. The main way we loose Potassium is through excessive fluid losses such as sweating, polyuria (urinating a lot due to medications or diuretics such as caffeine intake) and by fluid losses from being sick (vomiting and such).

So a small egg that delivers 5 times it's larger, more commonly
consumed counterpart (the Chicken Egg), in Iron and Potassium is absolutely powerful as a food and why we choose to
call the Quail Egg a Super Food with regard to nutrition.

"Another important quail egg fact is that quail eggs have not been shown to cause allergies
or diathesis. They can actually help to fight allergy symptoms due to the ovomucoid protein they contain."
On the Quail Egg USDA Nutritional Data Fact sheet,
the Quail Egg receives an inflammatory food grade of "-7" . This is wonderful and a big reason why it is a beneficial
food persons with autoimmune or inflammatory conditions.
We have some wonderful Nutritionists that are on our frequent order list
through Slowsprings Farm. They love the Quail Egg as an alternative for those who are intolerant of the Chicken Egg in the
diet. When you are making changes and are trying to improve your health, it is important to get guidance on the proper way
to balance doing so. There are trained professionals who can help you make good decisions in your diet and what your specific
needs are. Particularly if you are intolerant of any egg product. Take care. Be well AND safe. Nutritionist and Doctors will
safely guide you. Eggs should always be cooked until firm and not runny. Eggs should always refrigerated at 41 degrees F,
until cooked for consuming.

"Quail eggs contain twice as much vitamin A and B2 than a Chicken Egg."A list of bodily functions that Vitamin A plays
a role in are as follows: Vision, Gene Transcription, Embryonic development and reproduction, Bone metabolism, Hematopoiesis,
Skin and cellular health, Antioxidant activity.
Vitamin B2 is also known as Riboflavin. Riboflavin deficiency classically presents itself
via the cracked edges of the mouth ( Angular cheilitis), photophobia (light sensitivity) and dermatitis (dry< scaling skin)
and red bloodshot eyes (accompanying that photophobia). In animals, lack of Riboflavin can cause stunted growth and
"failure to thrive". We think the Quail Egg sounds better and better as we go down the nutrition list.





The Quail egg is richer in phosphorus and calcium
than a chicken egg.


Women
and children especially need extra calcium in the diet. Calcium promotes bone health.Calcium is essential for living organisms,
in particular in cell physiology, where movement of the calcium ion Ca2+ into and out of the cytoplasm functions as a signal
for many cellular processes. As a major material used in mineralization of bones and shells, calcium is the most abundant
metal by mass in many animals.
Phosphorus is essential for life. As phosphate, it is a component of DNA, RNA, ATP, and also the phospholipids that
form all cell membranes. Demonstrating the link between phosphorus and life, elemental phosphorus was historically first isolated
from human urine, and bone ash was an important early phosphate source.

Quail eggs have been used for thousands of years
for a healing food. Chinese medicine uses include quail eggs to help with rhinitis, asthma, hay fever and skin conditions.
Quail egg is often found in facial and hair products.

Quail eggs have a high HDL cholesterol content ("good fat")
and they are a high protein food providing higher levels of the B complex and are a non inflammatory food.
The above listed vitamin
and mineral evaluations, easily found through the internet or found in medical dictionaries, show you why... Humans
can become deficient in dietary nutrition by eating over processed and packaged foods. Returning to Whole Food, Slow
Food and Organic Food gives the body, nutrients once found by eating wild, fresh and nutrient dense food. It is science
based. It is medically documented, whether it be on-line, in books or medical journals.

Now Quail Eggs are being spotlighted on famous chef cooking
shows and health talk shows . The nutrient dense nature of Whole Foods, Slow Food and Organic Food, such as the Quail
Egg are needed for the human animal to survive and further...thrive.

We wanted to explore the list of nutrients the Quail Egg contain at higher
levels than a Chicken Egg and their role in the body. This nutritional point of view explains the consumption and prescription
in both ancient and modern times of the Quail Egg for health.




Do Quail eggs have cholesterol? Yes! The good kind. Quail eggs are rich in HDL cholesterol.

HDL cholesterol helps balance
the bad LDL cholesterol in blood levels. So Quail Eggs have the good kind of fat. Not all fat is bad. Not all cholesterol
is bad. Remind yourself by associating HDL with that H equaling "Happy". LDL can be remembered by
the L equaling "Lousy". Humans actually benefit by ingesting foods with higher HDL cholesterol.

Finally...Quail Eggs taste richer. Due to the increased
levels of trace minerals stated above, there is a fuller flavor to the Egg of a Quail. Some have described the
taste as "richer" or "like butter". Quail are naturally insectivorous and consume mostly seeds and
grasses or legumes in the wild.
Their shell is more protective than that of a Chicken egg, utilizing a stronger membrane just under the hard shell.
This membrane makes it more difficult for bacteria to enter naturally.
We think the Quail lay a fantastic "wild egg" in every
sense of the word!
Enjoy them. For their natural beauty, taste and health.

We encourage you to discover with us the important reasons Quail Eggs are such an important re-discovery in the modern day health concious consumer. Families with children growing up in this era in which we are learning about food allergens, intollerance, the effects of Genetically Modified Organism farming effecting our health and that of our children.source.
http://a-livinghealthy.blogspot.com.tr/2012/11/benefit-of-quail-eggs.html
 
Back
Top Bottom