Faida Za Kitunguu Maji

Faida Za Kitunguu Maji

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532




Kitunguu maji hupikwa kama mboga na hujulikana kama ni aina moja wapo ya kiungo muhimu katika mapishi. Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu.

Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji.
Juisi ya Kitunguu husaiduia kuua vijidudu vya kifua kikuu zipo tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu (Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)

Husaidia kuupa mwili nishati na nguvu, Kitunguu maji kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na nishati mwilini na huimarisha misuli ya mwili.

Huufanya uso kunawiri, Kitunguu maji kikichomwa na kisha kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn'gavu na wenye kunawiri.

Kitunguu maji huongeza hamu ya kula, pia kitunguu husaidia kulainisha tumbo pamoja na kusaidia kuondoa tatizo la kukosa choo.



chanzo: deusdeditmahunda.blogspot.com
 
Hizo faida nishazikosa

Sipendi vitunguu,hata katika mboga nikiviona natoa
 
Vp hakiongezi na nguvu za kile kichwa kidogo kisumbufu kua active zaidi....?
 
Back
Top Bottom