Faida za Komamanga

Joined
Feb 5, 2018
Posts
91
Reaction score
51
[emoji269]FAIDA ZA KOMAMANGA[emoji269]
[emoji298]1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa
[emoji298]2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo
Lina uwezo wa kuondoa Cholesterol mbaya ijulikanayo kama (LDL) na kuongeza Cholesterol nzuri ambayo haina madhara mwilini, ijulikanayo kama (HDL), hii husaidia kuondoa kasi ya kupata kansa.
Juisi ya komamanga inasaidia kwa kiasi kikubwa damu kutembea na afya ya mwili kwa ujumla.
[emoji298]3. Huupa afya mshipa wa moyo wa Arteries
[emoji298]4. Husaidia kurekebisha presha ikae sawa.
[emoji298]5. Husaidia kuimarisha mfumo wa meno kinywani, kwa wale wenye tatizo huwa linaondoka kwa kula sana tunda hilo.
[emoji298]6.Komamanga husaidia pia kutokomeza ugonjwa wa kuharisha, kwa mtu anayeharisha akitumia juisi yake anapata nafuu.
[emoji298]7. Husaidia kupunguza uzito na kukuweka sawa.
[emoji298]8. Huongeza hamu ya kula.
[emoji298]9. Husaidia usagaji wa chakula mwilini.
[emoji298]10. Hutibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini.
 
Aisee hili tunda hulikuti ata sokoni uku kwetu... Ni kama vile mti wa luxury tu uwe nao nyumbani
 

Nimeona Faida Lukuki za kuwa na miti kadhaa ya Komamanga nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…