faida za kuchungulia na hasara zake...

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Jamani nimeona niweke hapa jukwaa la malavidavi maana inanisumbua sana hii kitu, kuna jamaa angu, ameoa na watoto na mke wake ni mzuri tu, huyu bwana anawajua wanawake wote maumbile yao maana ni mchunguliaji mtaalamu sana, najiuliza anapata faida gani huyu jamaa? Kwani hatosheki na mke wake? Nilimuuliza akaniambia we acha tu, ni ugonjwa ndugu yangu, siwezi acha...Jamani je nani amewahi sikia huu ugonjwa?
 
hajafumaniwa huyo, akifumaniwa mwenyewe ataacha. Waswahili wanapiga kuliko FFU
 
Hivi kumbe nao ni ugonjwa!!siungemshauri mkaenda hospitali?
 
mwehu achana nae huyo mpaka aingie n kutoka mirembe ndio attacha
 
Anajua maumbo ya wanawake wote???Mbona langu halijuii???
Nwy mwambie aache kabla hajatobolewa macho!!!
 
Anajua maumbo ya wanawake wote???Mbona langu halijuii???
Nwy mwambie aache kabla hajatobolewa macho!!!

Lizzy anakuonea aibu kukutangaza ila kama unamualika haya bana.
 
Hivi kumbe nao ni ugonjwa!!siungemshauri mkaenda hospitali?

Tukamwona Dr wa nini sasa? Wa kuchungulia au? maana mwenyewe yuko mzima kabisa akili yake nzuri tu, jamaa akienda beach hata umsemeshe hakuelewi, concentration yake sio ya kawaida....
 
Lizzy anakuonea aibu kukutangaza ila kama unamualika haya bana.

Hahahahha...ye kasema wanawake wote na mimi naweza kumtajia zaidi ya mia ambao hawajapita kona hizo!!!
Uwiiiii eti namwalika....basi kashaniona hapo hana haja ya kurudia!!!
 
Anajua maumbo ya wanawake wote???Mbona langu halijuii???
Nwy mwambie aache kabla hajatobolewa macho!!!

Lizy wewe? jamaa ni noma, wewe huenda alisha kuona beach...maana beach hakosi weekend, kama unapendelea beach mhh 60% anakujua...Anasema haachi kamwe maana amekuwa CHUNGULIAHOLIC huyu...
 
Lizy wewe? jamaa ni noma, wewe huenda alisha kuona beach...maana beach hakosi weekend, kama unapendelea beach mhh 60% anakujua...Anasema haachi kamwe maana amekuwa CHUNGULIAHOLIC huyu...

Lizzy acha kujitetea dada angu, huenda katika list ndefu ya waliochunguliwa na wewe umo, utajijuaje?
 
Hivi kuna wanawake wanaopiga chabo midume? maana chabo inaaminika kwa wanaume tu...madada nyie hamna miashiki ya kutazama the yake?
 
Lizy wewe? jamaa ni noma, wewe huenda alisha kuona beach...maana beach hakosi weekend, kama unapendelea beach mhh 60% anakujua...Anasema haachi kamwe maana amekuwa CHUNGULIAHOLIC huyu...

Mwili wa kuvaa bikini sina beach nikafanye nini mie???

Lizzy acha kujitetea dada angu, huenda katika list ndefu ya waliochunguliwa na wewe umo, utajijuaje?

Huku Ungalimited ukikutwa hata umesimama tu ukaegemea ukuta wa mtu una kesi ya wizi...achili mbali kupiga chabo!!Mpaka hapo naamini hajapata hiyo nafasi!!

Mwache tu Lizzy naona anatuma invitation...haya usije ingia 18 zake.....

Heheheheh......kama anaweza aje....mi hata nikioga naingia na bisibisi!!!
 
Bisibisi kwani anakuja kukubaka? yeye hana nia ya kubaka ni fahari ya macho tu, sasa bisibisi utamchoma wapi wakati anakula mingo? Jamaa huenda ana darubini kali so from far anakula deo tu...haya mpe adress uone kazi yake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…